Habari

Will.i.am amshtaki Pharrell Williams kwa kudai amemuibia brand yake baada ya kuanzisha ‘i am OTHER’

Producer Will.i.am anampeleka kortini Pharrell. Kiongozi huyo wa kundi la Black Eyed Peas anadai kuwa producer huyo The Neptunes amemuibia brand yake kwa kuanzisha i am OTHER.

Pharrell-Williams-Presents-i-am-OTHER-Music-Video

Kwa mujibu wa Rolling Stone, Will anadai kuwa ana haki miliki ya neno I AM na kwamba logo ya brand ya Pharrell inafanana na yake. Anataka amzuie Pharrell aache kutumia brand yake ya I am OTHER kwenye nguo na bidhaa zingine ambazo zinafanana na products zake za I AM.

“The registration of the mark . . . is likely to dilute the I AM mark and the WILL.I.AM mark,” yanasomeka maelezo kwenye karatasi ya mahakamani.

Wanasheria wa Pharrell na i am OTHER wamejibu madai hayo na kuyakanusha.

“I am disappointed that Will, a fellow artist, would file a case against me,” Pharrell ameliambia Rolling Stone. “I am someone who likes to talk things out and, in fact, I attempted to do just that on many occasions. I am surprised in how this is being handled and I am confident that Will’s trademark claims will ultimately be found to be as meritless and ridiculous as I do.”

Licha ya nyaraka hizo za mahakama, Will anadai kuwa hamshitaki Pharrell. “i.am not suing @Pharrell and I never was… what i.am doing is #iamangel TRANS4Ming inner cities with #STEAM tools,” alitweet baada ya ripoti hiyo kusambaa.

Related Articles

Back to top button

Adblock Detected

Please don't block our ads, we rely on these ads to serve you with credible contents