Burudani

Will Smith aiga muonekano wa mwanae Jaden Smith (+Video)

By  | 

Mwezi Novemba mwaka jana Jaden Smith alitoa video ya wimbo wake “Icon”. Leo, baba yake Will Smith amefanya tena video ya wimbo huo ambapo ameva nguo kama alizo vaa mwanae pamoja na staili ya nywele na kuweka meno ya bandia.

Video hiyo inamuonyesha Will Smith akiwa kwenye gari huku ameweka simu yake maskioni. Kisha muziki ukapunguzwa ili aweze kumtumia mwanawe ujumbe. Alimtumia ujumbe kwa kusema “Ninafurahi sana kuwa na mtoto kama wewe, Hongera mwanangu kwa kufikisha stream milioni 100 kwenye wimbo wako katika mtandao wa Spotify, nakupenda.”

Linganisha video hizo mbili hapa chini.

Na Raheem Rajuu

Loading...

Jiunge na Bongo5.com sasa

Usipitwe!! Jiunge nasi kupitia Facebook, Twitter na Instagram ili kupata habari zote za town! Usikose kujiunga na Youtube kuangalia video zote kali kutoka Bongo5!

Comments