Jiunge ufaidi miezi 2 bure!

Willy Paul afichua ngoma ya Ben Pol aliyowashirikisha mastaa wote Bongo, akiwemo … (video)

Msanii wa muziki kutoka nchini Kenya, Willy Paul Msafi, ameweka wazi kuwa Ben Pol ana ngoma ambayo amewashirikisha mastaa kibao wa Bongo na yeye mwenyewe kutoka Kenya.

Willy amesema wimbo huo ni remix na unatokana na moja ya ngoma zake na kuwataja baadhi ya mastaa hao aliowaona kwenye ngoma hiyo ni pamoja na Vanessa Mdee, Joh Makini, Jux, Nandy na wengine.

Related Articles

Bongo5

FREE
VIEW