Burudani

Wilshere, Lacazette na Martial nje kombe la Dunia (Video)

Mshambuliaji wa Arsenal na timu ya taifa ya Ufaransa, Alexandre Lacazette pamoja na winga wa klabu ya Manchester United, Anthony Martial ni kati ya wachezaji walioachwa katika vikosi vya timu za taifa vinavyoenda kushiriki kombe la dunia nchini Rassia baadaye mwezi Juni 2018. Pia Jack Wilshere ameachwa na timu ya Uingereza huku akionyesha kwenye mitandao ya kijamii kuumizwa na kitendo hicho.

Related Articles

Back to top button

Adblock Detected

Please don't block our ads, we rely on these ads to serve you with credible contents