Lady Jay Dee
Wimbo Mpya: Lady Jaydee – Yahaya
Mwanadada Lady Jaydee ameachia single ya pili kutoka kwenye albam yake mpya, Nothing But The Truth. Wimbo huu uitwao Yahaya umeyatarishwa na mshindi wa producer bora wa muziki wa Bongo Flava kwenye KTMA 2013, Man Walter. Isikilize ama kudownload hapa.