Burudani
Wimbo mpya wa Mesen Selekta
Producer na msanii wa kundi la Mexicana Lacavera Mesen Selekta, ametoa wimbo mpya ambao amesema ameutengeneza mwenyewe kwaajili ya kutoa burudani kila kona kuanzia kwenye kutengeneza mpaka kuimba.
{mmp3}Mesen-kulia.mp3{/mmp3}