Burudani

Witness kutoka na mdogo wake

witness
MWANAMUZIKI Witness Fred Mwaijange  ‘Witness’ amesema hivi sasa anajiandaa kufanya video mpya ya wimbo wake wa Rock star  ambayo anaamini itakuwa babu kubwa kutokana na kujipanga zaidi kimuziki.

 

mwanamuziki huyo alisema kwamba katika wimbo huo, ambao amempa shavu mdogo wake  ambaye ni mkali wa nyimbo za Ki-Nigeria. alisema wimbo huo ni badala ya ule alioimba na mumewe Mussa Ayoub ‘Mokeyz’ wa Shssssssssss.

Pia alidokeza kidogo kwa kusema wimbo  wa Shssss, umechelewa kwakuwa Producer & Editor alipata ajali na kufanya kusimamisha  kazi kwa muda kidogo.

Related Articles

Check Also
Close
Back to top button

Adblock Detected

Please don't block our ads, we rely on these ads to serve you with credible contents