Burudani

Witnesz azidi kupasua anga

Image
Mambo yanazidi kunyoka kwa msanii Witnesz baada ya nyimbo za Umwe, inayopatikana kwenye albamu ya Khaya Khaya na Attention Please iliyomo kwenye albamu ya Safari, kufanikiwa kuingizwa kwenye albamu ya Imagine Africa iliyotoka mwezi Desemba mwaka jana. Imagine Africa ni muunganiko wa harakati za vijana wa Afrika katika kupambana na gonjwa hatari la Ukimwi

Related Articles

Check Also
Close
Back to top button

Adblock Detected

Please don't block our ads, we rely on these ads to serve you with credible contents