Burudani

Wiz Khalifa ampa madongo Amber Rose kwenye wimbo mpya ‘These hos are For Everybody’

Wiz Khalifa hana mpango wowote wa kurudisha penzi lake kwa baby mama wake Amber Rose, licha ya kuwa amezaa naye mtoto mmoja lakini ameamua kumpa madongo live kwenye wimbo mpya alioshirikishwa.

http://youtu.be/RhvNuoVkkHU

Kwenye wimbo wa Juicy J uitwao ‘For Everybody’, hii ni baadhi ya mistari ambayo amemzungumzia Amber:

– “Man, I fell in love with a stripper, funny thing is I fell back out of love quicker.”

– “Bottles be turning these girls into thots, Instagram turning these wives into hos.”

– “You all ’bout that money, that s**t that I throw. Just make sure you clean off that pole.”

Related Articles

Back to top button

Adblock Detected

Please don't block our ads, we rely on these ads to serve you with credible contents