Habari

Wizara ya Mambo ya Ndani ina mambo ya hovyo – Rais Magufuli amueleza Mh. Lugola (+video)

Rais Magufuli amueleza Waziri Mpya wa Mambo ya Ndani, Kangi Lugola changamoto zilizopo katika Wizara hiyo huku akimtaka kwenda kuchukua hatua pale panapostahili kuchukua hatua na si kusubiri mpaka yeye kama Rais Kuzungumza. Hata hivyo Rais Magufuli amesema kuwa Wizara hiyo ina Mambo ya hovyo sana, kwanini Rais Magufuli amesema hivyo video hii inaeleza.

Related Articles

Back to top button

Adblock Detected

Please don't block our ads, we rely on these ads to serve you with credible contents