Burudani

Wizkid ajizawadia madini Birthday yake

Msanii kutoka Nigeria Ayodeji balogun a.k.a Wizkid, ameamua kujizawadia madini  katika siku ya kuzaliwa kwake.

Wizkid ambaye ametimiza miaka 27 siku ya jana alisherekea Birthday yake kwa kujipatia zawadia ya cheni zilizo na Almasi pamoja na dhahabu, cheni ambazo zimetengenezwa na Joseph Frost kutoka Uingereza.

Cheni hizo zenye sura ya msanii huyo zinadaiwa kuwa ghali  kiasi kikubwa cha pesa pia bado haijabainika ni kiasi gani kimetumika.

Na Laila Sued

Related Articles

Back to top button

Adblock Detected

Please don't block our ads, we rely on these ads to serve you with credible contents