Wizkid aongeza wigo wa Star Boy Cloth Collection, afungua duka la nguo nchini Marekani (+picha)

Msanii wa muziki kutoka Nigeria, Wizkid ameendelea kuongeza wigo wa bidhaa zake za nguo duniani kwani jana amefungua duka lingine la muda la kutangaza bidhaa zake Jijini New York nchini Marekani.

Hii ni mara ya pili Wizkid kufanya hivyo baada ya mwezi uliopita kufanya hivyo nchini Uingereza. ambapo kwenye maduka hayo ya muda (Pop-Up shop) ameonesha bidhaa zake za fulana, soksi na viatu)

Wizkid kupitia kurasa zake za mitandao ya kijamii amethibitisha taarifa hizo na nguo zote zimegongwa nembo ya Star Boy huku zikiwa zimeandikwa Made In Nigeria/ Lagos/ Ojuelegba.

Tazama picha za duka hilo.

WIZKID’S STARBOY POP UP SHOP, NEW YORK IS OFFICIALLY OPENING TODAY (PHOTOS)

WIZKID’S STARBOY POP UP SHOP, NEW YORK IS OFFICIALLY OPENING TODAY (PHOTOS)

WIZKID’S STARBOY POP UP SHOP, NEW YORK IS OFFICIALLY OPENING TODAY (PHOTOS)

Related Articles

2 Comments

Bongo5

FREE
VIEW