Burudani

Wizkid ashangazwa na bei ya midoli ya ngono ‘Sex Dolls’

Msanii wa muziki kutoka Nigeria, Wizkid ameshangazwa na bei ya midoli ya ngono ‘Sex Dolls’ ambapo amesema kuwa bei ya midoli hiyo ni kubwa kulikuwa hata gharama ya kununua wanawake wanaojiuza yaani makahaba.

Wizkid

Wizkid amesema makampuni yanayotengeneza midoli hiyo hayajui jinsi ya kupanga bei kuendana na mazingira kwani haamini kuwa mtu anaweza kutumia mamilioni ya pesa kununua midoli hiyo ile hali anaweza kulipia gharama ndogo kununua kahaba na kujiridhisha kingono.

Najiuliza watu wanaotengeneza midoli ya ngono, hivi hawajui bei ya makahaba mtaani,“ameandika Wizkid kwenye ukurasa wake wa Twitter.

Olosho ni neno la Kiyoruba lenye maana ya Kahaba

 

Kauli nhiyo imekuja baada ya wiki iliyopita duka kubwa la midoli ya ngono ya kampuni ya eSex Dolls kufunguliwa nchini humo ambapo bei ya chini ya midoli hiyo ni tsh milioni 5 huku bei ya juu ikiwa hadi milioni 10 kitu ambacho watu wengi wa Nigeria wameshangazwa na bei hiyo.

 

Related Articles

Back to top button

Adblock Detected

Please don't block our ads, we rely on these ads to serve you with credible contents