Burudani

Wizkid atajwa kitabu cha Guinness

Mkali wa Afro pop kutoka Nigeria, Wizkid amekuwa moja ya wasanii watakaoonekana katika kitabu cha Guinness mwaka 2018. Kitabu hicho kimekuwa kiingiza vitu ambavyo vinavunja rekodi duniani.

Wizkid anayehiti na ‘Evertime’ aliyomshirikisha rapper Future, ameingia katika orodha hiyo ya kitabu kikubwa kutokana na ngoma ya ‘One Dance’ kupigwa mara kwa mara Spotify.

Ngoma ya ‘One Dance’  ilitoka mwaka 2016 na alimshirikisha rapper kutoka Canada Drake anaye bang na ‘More Life’, hivyo baso ifikapo mwaka 2018, tutarajie kumuona Wizkid katika toleo jipya la The Guinness.

Related Articles

Back to top button

Adblock Detected

Please don't block our ads, we rely on these ads to serve you with credible contents