Burudani ya Michezo Live

Wolper Feki apatikana mikononi mwa Wolper Original

Mara nyingi kumekuwa na watu wanaotumia majina ya watu maarufu kinyume na utaratibu ili kujipatia fedha.

Hatimaye mtu aliyekuwa akitumia jina la Jackiline Wolper kutapeli watu amejikuta akipokea kichapo kutoka kwa msanii huyo.

Watu kama Babu Tale, Gabo Zigamba, Hemedy Suleiman a.k.a PHD, Weusi na wengineo wamekuwa wakikutana na adha ya watu kutumia majina yao kutapele katika mitandao.

Na Laila Sued

Related Articles

Back to top button
Close
Bongo5

FREE
VIEW