Burudani
Wolper: Mimi sio msagaji, ni ngumu kufanya hivyo
Msanii wa filamu nchini, Jacqueline Wolper amesema anaumizwa sana na skendo zinazomuandama kuwa anajihusisha na vitendo vya usagaji.
Akizungumza na Global Publisher, Wolper amesema anaumia kwakuwa yeye ni mchamungu.
“Roho inaniuma sana kuhusiana na hizo taarifa sijui niongee nini ili jamii inielewe kile nitachokizungumza, ni ngumu sana kufanya hicho kitu ambacho najua hakimpendezi Mungu kivyovyote vile,” alisema.
Source:Global Publisher