Bongo5 Exclusives

World’s youngest dad: Mtoto wa miaka 12 apata mtoto

Mtoto Sean Stewart wa nchini Uingereza, amekuwa baba mdogo pengine kuliko wote duniani baada ya mpenzi wake kujifungua wiki hii mtoto wa kiume mwenye afya.

Sean akiwa amembeba mwanae
Sean akiwa amembeba mwanae

Sean aliyetimiza miaka 12 mwezi uliopita, aliruhusiwa kutoenda shule ili kuwa pembeni ya mpenzi wake mwenye miaka 16, Emma Webster, wazazi wake Ray na Shirley, na mama yake Sean, Theresa. Alikuwa na miaka 11 na Emma miaka 15 alipopata ujauzito huo.

Sean akimnywesha mwanae maziwa
Sean akimnywesha mwanae maziwa
Baba na mwana
Baba na mwana
Yupo darasa la saba katika shule ya Margaret Beaufort.
Mwaka jana Sean alisema kuwa atakuwa bega kwa bega na Emma na mtoto wake pia. “I was shocked at first when I was told Emma was pregnant but I am all right about it now,” alisema Sean.

Related Articles

Back to top button

Adblock Detected

Please don't block our ads, we rely on these ads to serve you with credible contents