Wyclef alivyoguswa na Haiti

Image
Mwanamuziki na prodyuza wa Marekani ambaye asili yake in Haiti, Wyclef jean, kupitia Taasisi yake ya Yelle haiti akishirikiana na AmeriCares na friends of WFP, amefanikiwa kuchangisha zaidi ya Dola milioni 2 kusaidia wahanga wa tetemeko la ardhi lililotokea wiki iliyopita huko Haiti na kuwaacha maelfu bila makazi. Clef aliweka ujumbe kwenye wavuti ya taasisi hiyo akiwaomba watu wajitolee kusaidia waathirika na kupata kiasi hicho cha pesa

Related Articles

Check Also
Close
Back to top button

Adblock Detected

Please don't block our ads, we rely on these ads to serve you with credible contents