Xavi awataja wachezaji hawa kuja kuchukua nafasi ya Ronaldo na Messi

Baada ya Cristiano Ronaldo na Lionel Messi ufalme wao wa soka kupotea, unatabiri wachezaji gani wengine ambao watakuwa wafalme wapya katika kushindania tuzo za Ballon d’Or?

Aliyekuwa kiungo mkongwe wa Barcelona, Xavier Hernández amemtabiri kuwa wachezaji wa klabu ya PSG, Neymar na Kylian Mbappe ndio watakuwa warithi wa Ronaldo na Messi.

Akiongea na RMC Sport, Xavi amemzungumzia Neymar kwa kusema, “I have huge respect for him, he’s a fantastic footballer. When Messi and Cristiano lower their level, he will be the next Golden Ball winner.”

“When Messi and Cristiano Ronaldo retire, the debate about the best in the world will be between Neymar and Mbappe,” ameongeza.

Related Articles

Bongo5

FREE
VIEW