Aisee DSTV!
SwahiliFix

XENOPHOBIA: “Wanachokifanya Afrika Kusini ni ujinga, Ningekuwa Rais ningewadhibiti” – Nikki wa Pili

Rapper Nikki wa Pili kutoka katika kundi la Weusi, Amesema kuwa vurugu zinazofanywa na raia wazawa nchini Afrika Kusini dhidi ya wafanyabiashara wageni nchini humo ni UJINGA.

Nikki wa Pili akiongea na Bongo5, amedai kuwa wazawa hao ni wazembe na wavivu ndio jambo ambalo linalowafanya kuwa na chuki na wageni wanaohangaika kutafuta fursa nchini humo.

Kwa upande mwingine, Nikki wa Pili amesema kama yeye angevaa viatu vya urais wa Taifa hilo, Angeimarisha mfumo wa ulinzi ili kukomesha matukio hayo.

Related Articles

Back to top button
Close
Bongo5

FREE
VIEW