Habari

Xi Jinping amkalisha Trump na Putin orodha ya watu wenye nguvu ya ushawishi duniani

Jarida la Forbes limetaja orodha ya watu 75 wenye nguvu ya ushawishi duniani kwa mwaka huu huku Rais wa China, Xi Jinping ashikilia usukani.

Wakati huo huo Rais wa Urusi Vladimir Putin anashika nafasi ya pili akifuatiwa na Donald Trump wa Marekani.

Katika orodha hiyo Rais wa Shirikisho la Soka Duniani (FIFA), Gianni Infantino anafunga dimba kwa kushika nafasi ya mwisho.

Hii ni orodha ya watu 10 wenye nguvu ya ushawishi duniani 2018.

1.Xi Jinping (64) – China
2.Vladimir Putin (65) – Russia
3.Donald Trump (71) – United States
4.Angela Merkel (63) – Germany
5.Jeff Bezos (54) – Amazon.com
6.Pope Francis (81) – Roman Catholic Church
7.Bill Gates (62) – Bill & Melinda Gates Foundation
8.Mohammed bin Salman Al Saud (32) – Saudi Arabia
9.Narendra Modi (67) – India
10.Larry Page (45) – Google

Related Articles

Back to top button

Adblock Detected

Please don't block our ads, we rely on these ads to serve you with credible contents