Picha
Xtreem live ya DTV leo kutambulisha segment mpya ‘Xtreem Street’
Kwa mara ya kwanza kipindi cha Xtreem Live cha DTV kinachoendeshwa na Penniel Mungilwa aka Vj Penny leo usiku kitatambulisha segment mpya inayoitwa XTREEM STREET na kuongozwa na DUWE SANTANA aka D 120.
Mtaa umeongea na 120 kupitia camera za Xtreem pande za Kinondoni, Dar es Salaam na kukutanisha marafiki na wajukuu wakubwa wa BIBI KIDUDE, Je unajua vijana wajanja wa Kinondoni wamemzungumziaje Binti Baraka? Usikose leo kuanzia 4 usiku.
PICHA: Fullbata.com