Tupo Nawe

Yafahamu maajabu haya ya mto Nile na sababu za maji ya mto huo kutumiwa na taifa la Misri tu pia ifahamu mito 10 mirefu zaidi duniani (+ Video)

Yafahamu maajabu haya ya mto Nile na sababu za maji ya mto huo kutumiwa na taifa la Misri tu pia ifahamu mito mirefu zaidi duniani (+ Video)

Mto Nile  ni mto mkubwa upande wa  bara la Afrika. Mara nyingi hutajwa kuwa pia ni mto mrefu kabisa duniani kushinda mto Amazonas. Kutoka Ziwa la Viktoria Nyanza hadi mdomo wake kwenye Bahari ya Mediteranea Nile inavuka nchi za UgandaSudan KusiniSudan na Misri kwa urefu wa km 6,650.

Beseni la Nile hukusanya maji ya eneo linalojumlisha 10% za eneo la Afrika yote au km²3,349,000. Takriban watu milioni 250 hukalia beseni hilo.

Chanzo cha Mto huu,

Majina hayo ya “nyeupe” na “buluu” yana asili yake katika mji wa Khartoum ambako mito yote miwili inaunganika ilhali kila mmoja una rangi tofauti kutokana na udongo tofauti uliotia rangi yake kwenye maji hayo. Vyanzo vya Nile ni mito yote inayopeleka maji kwenda Ziwa Viktoria Nyanza katika nchi za TanzaniaBurundiRwandaJamhuri ya Kidemokrasia ya KongoUganda na KenyaChanzo cha mbali kabisa ni mto wa Luvironza huko Burundi unaoingia katika mto Kagera na kufika Ziwa Viktoria Nyanza. Mkono mwingine wa Nile unaanza Ethiopia ukiitwa Abbai au Nile ya Buluu: unatoka katika Ziwa Tana.

Hakuna mapatano kabisa Nile inaanzia wapi. Kawaida ya waandishi Waingereza ni kuhesabu kuanzia Ziwa Viktoria; waandishi wa mataifa mengine huwa wanaweza wakaita tayari mto Kagera kwa jina “Nile ya Kagera”.

Maji ya Nile.

Majina ya sehemu ya mto kuanzia Ziwa Viktoria hadi Khartoum ni kama yafuatayo:

  • kwa sababu ya rangi wakati wa mvua yake kutokana na udongo katika maji jina linakuwa Bahr al-Abyad kuanzia Bahr al-Ghazal hadi Khartoum
  • kuanzia Khartoum jina pekee ni Bahr an-Nil (mto wa Nile) hadi mdomo wake wa delta kwenye Mediteranea.

Matumizi ya Mto Nile.

Tangu milenia kadhaa maji ya Nile yamekuwa msingi wa maisha yote nchini Misri na pia kwa sehemu kubwa ya nchi ya Sudan.

Katika miaka ya 1920 Uingereza kama mtawala mkoloni wa Sudan na Misri ulikuwa na majadiliano juu ya ugawaji wa maji ya mto na kufikia mapatano juu ya matumizi ya maji ya mto Nile ya 1929.

Hadi leo Misri inadai ya kwamba mapatanao yale yanakataa ujenzi wa malambo na kuanzishwa kwa miradi ya umwagiliaji inayotumia maji ya Nile bila kibali cha serikali yake. Hapa Misri inadai ya kwamba nchi zote zilizokuwa makoloni ya Uingereza wakati ule zinafungwa na mapatano ya mwaka 1929 na hizi ni pamoja na Sudan, Uganda, Kenya, Tanzania, halafu pia Ethiopia iliyopatana na Uingereza wakati ule. Nchi nyingine hazikubali madai hayo, ila majadiliano juu ya mapatano mapya ya ushirikiano katika beseni la Nile yanaendelea.

Mito mirefu zaidi Du iani.

1. Amazon River – 6,853 km (4,325 miles) – America

2. Nile River – 6,853 km (4,258 miles) – Africa

3. Yangtze River – 6,300 km (3,917 miles) – Asia

4. Mississippi/Missouri – 6,275 km (3,902 miles) – Asia

 

5. Yenisei/Angara – 5,539 km (3,445 miles) – Asia

The 15 Longest Rivers in the World

RankRiverLength (Miles)Length (km)
1Amazon4,3256,992
2Nile4,2586,853
3Yangtze3,9176,300
4Mississippi-Missouri3,9026,275
5Yenisey-Angara3,4455,539
6Yellow3,3955,464
7Ob-Irtysh3,3645,410
8Río de la Plata3,0304,880
9Congo2,9224,700
10Amur2,7634,400
11Lena2,7364,400
12Mekong2,7054,350
13Mackenzie-Peace2,6374,241
14Niger2,6114,200
15Brahmaputra2,3913,848

Mito mirefu ya Afrika inaonyeshwa katika orodha ifuatayo.

Mara nyingi mto wa Nile unahesabiwa kuwa mtu mrefu kuliko yote ya Afrika pia duniani. Kadirio la urefu wa mto hutegemea jinsi ya kuhesabu tawimito yake. Orodha inayofuata ina tofauti na orodha inayokadiria kwa namna nyingine.

Urefu
(km)
JinaMdomoBeseni
(km²)
Kiasi cha maji kinachotolewa
(m³/s)
6.671Nile pamoja na KageraMediteranea3.071.3062.832
4.835Kongo + Luvua pamoja na Luapula na ChambeshiAtlantiki3.692.06239.160
4.374KongoAtlantiki3.692.06239.160
4.184NigerAtlantiki2.112.7749.570
2.574ZambeziBahari ya Hindi1.384.9997.070
2.272Ubangi pamoja na UeleKongo613.2027.000
2.160OranjeAtlantiki941.421800
2.153KasaiKongo925.17210.000
1.820ShebeliJuba336.627
1.819Volta pamoja na Volta nyeusiAtlantiki414.2431.290
1.800Okavangoinaishia katika delta ya barani ya Okavango721.2580
1.740Chari pamoja na OuhamZiwa la Chad669.706
1.680LimpopoBahari ya Hindi414.524800
1.658JubaBahari ya Hindi803.212550
1.500CuandoZambezi
1.450Lomami (mto)Kongo110.0001.700
1.430Senegal pamoja na BafingAtlantiki435.9811.500
1.416BenueNiger327.000
1.400Luvua pamoja na Luapula na ChambeshiKongo
1.350Nile ya buluu (=Abay)Nile326.400
1.288Shire pamoja na SongweZambezi
1.287AruwimiKongo116.000
1.251VaalOranje189.000
1.160KomoéAtlantiki79.087
1.150SankuruKasai
1.140Volta nyeupeVolta
1.130UeleUbangi
1.127GambiaAtlantiki69.9312.000
1.120AtbaraNile100.000
1.100KwangoKasai263.5002.700
1.100Sangha pamoja na MambereKongo180.418
1.100Wadi Draa (mto wa muda)Atlantiki114.569
1.094OgoouéAtlantiki221.968
1.083RuvumaBahari ya Hindi165.760
1.060Lukenie pamoja na FimiKasai
1.050Bani pamoja na BaouléNiger
1.020Kunene 975 km?Atlantiki110.024
1.000Kwilu 960 km?Kwango
1.000Molopo (mto wa muda)Oranje (mto)
By Ally Juma.

Related Articles

Back to top button
Close
Bongo5

FREE
VIEW