Burudani

YAJAYO yanafurahisha: Watanzania kugaiwa vocha bure ‘sijawahi kuona zaidi ya @VodacomTanzania’ (+video)

Ukitaja mtandao wa simu unaongoza kwa huduma bora na kuwajali wateja wake bila shaka ni Vodacom Tanzania, na ndio maana wenyewe wakasema kuwa “YAJAYO YANAFURAHISHA, UPO TAYARI?”.

Sasa kupitia kauli mbiu hiyo, Vodacom na timu Bongo5 wanaingia mtaani kwako ambapo watakuwa wanaongea na wateja wa Vodacom na kugawa vocha kwa watakaojibu maswali kwa usahihi.

Wakati hayo ya “Yajayo yanafurahisha” Vodacom pia wana huduma nyingine ya WEKESHA ambayo inamsaidia mteja wa Vodacom kulipia kidogo kidogo simu yoyote atakayoichagua kwa kuanza na asilimia 10 ya bei ya simu husika. Tazama video hapa chini kuhusu Wekesha

Related Articles

Back to top button

Adblock Detected

Please don't block our ads, we rely on these ads to serve you with credible contents