Habari

Yaliyojiri kwenye basketball kitaa na Cypher Jumapili hii Dar

Furaha tele mbele ya camera ya Bongo5, warembo sio?

Kwa wapenzi wa kikapu na vilinge vya hip hop maarufu kama cypher, jana kwenye uwanja wa basketball uliopo maeneo ya Tanesco mkabala na ubalozi wa Marekani, kiu yao ilikatwa.

Wakati wachezaji wa kikapu akiwemo Miss Tanzania, 2002, Angela Damas wakiwa busy kukama rebounds na kupiga lay-ups za hapa na pale, huku pembeni Dj Skit alikuwa busy kwenye 1 and 2 kudondosha beat iliyokuwa ikichangiwa na mamc waliokuwa na hasira wakiongozwa na Baghdad na P THE MC. Basketball na cypher ama kweli mchanganyiko ulio na ladha ya kipekee. Angalia baadhi ya picha za jana.

Related Articles

Back to top button

Adblock Detected

Please don't block our ads, we rely on these ads to serve you with credible contents