Shinda na SIM Account

Yaliyojiri sherehe za miaka 54 ya Mapinduzi ya Zanzibar (+Picha 23)

Leo ni siku ya sherehe za miaka 54 Mapinduzi ya Zanzibar, ambapo Rais a Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Pombe Magufuli na Makamu Rais wa Tanzania, Samia Suluhu wamehudhuria sherehe hizo na viongozi wengine wakiserikali na Marais wastaafu. Tazama picha ;

Mapinduzi ya Zanzibar yalitokea Januari 12 mwaka 1964 ili kumuondoa madarakani Sultani wa Zanzibar na serikali yake, iliyoundwa hasa na Waarabu.

Related Articles

Bongo5

FREE
VIEW