Michezo

Yanga 2 Simba 1

Image
Goli la Shamte Ally katika dakika ya 117 liliiwezesha Yanga kupata tiketi ya kucheza na Sofapaka kwenye fainali za Kombe la Tusker baada ya kuwabwaga wapinzani wao simba kwa mabao 2-1 kwenye uwanja wa Uhuru. yanga walipata mabao yao kupitia kwa jerry tegete wakati Simba walipata goli lao kupitia penati ya Echesa. Mchezo ulikuwa mgumu na ulikwenda mpaka muda wa nyongeza ambapo Yanga walipata goli

Related Articles

Check Also
Close
Back to top button

Adblock Detected

Please don't block our ads, we rely on these ads to serve you with credible contents