Michezo

Yanga itamkosa Cannavaro mechi na Azam FC Machi 5

Timu ya Yanga inajianda na mchezo mkali wa Ligi Kuu ya Vodacom Tanzania Bara dhidi ya Azam FC Machi 5, mwaka huu Uwanja wa Taifa, Dar es Salaam, imeweka kambi yake Zanzibar, Pemba itamkosa nahodha wao Nadir Haroub ‘Cannavaro’ hatakuwa tayari bado anamaumivu.

yanga-fc-captain-nadir-haroub-reacts-after-scoring-his-penalty-kick-against-azam-on-wednesday_y75jzu9nrwuyzuh1ekguut2a

Cannavaro amesema kwamba “anahitaji mechi tatu nyepesi ili aweze kuwa fiti kwa asilimia miamoja baada ya kupona mumivu yake.

Cannavaro alicheza mechi yake ya kwanza kwa dakika zote 90 Jumatano dhidi ya JKT Mlale baada ya kuwa nje tangu Novemba mwaka jana.

Related Articles

Check Also
Close
Back to top button

Adblock Detected

Please don't block our ads, we rely on these ads to serve you with credible contents