Michezo

Yanga SC kuondoka kesho kuweka kambi Morogoro

Kikosi cha klabu Yanga SC kinatarajia kuondoka kesho mchana kuelekea Mkoani Morogoro kwa ajili ya kuweka kambi ya siku 10.

Klabu hiyo inatarajia kurejea tena Dar es Salam baada ya kambi hiyo tayari kwa ajili ya mchezo wake wa kirafiki dhidi Singida United Agosti 6/2017 kwenye uwanja wa Taifa.

Mchezo wa kirafiki wa Mabingwa wa kihistoria wa ligi kuu Tanzania Bara klabu ya Yanga dhidi ya Singida United uliopangwa kuchezwa tarehe 5/8/2017 kwenye Uwanja wa Taifa sasa utachezwa tarehe 6/8/2017.

By Hamza Fumo

Related Articles

Back to top button

Adblock Detected

Please don't block our ads, we rely on these ads to serve you with credible contents