Michezo

Yanga SC yaanika kikosi chake Vs Mwadui FC, Tambwe ndani

Mabingwa wa tetezi wa ligi kuu soka Tanzania Bara klabu ya Yanga hii leo inatarajia kushuka dimbani tayari kuivaa timu ya Mwadui FC katika mechi ya Vpl itakayo chezwa Uwanja wa Uhuru jijini Dar es salaam.

Kuelekea katika mchezo huo Yanga SC imeanika wachezaji wake huku akiwemo mshambuliaji Amis Tambwe ambaye amekosekana katika kikosi cha timu hiyo kwa muda mrefu kutokana na kusumbuliwa na malaria.

Related Articles

Check Also
Close
Back to top button

Adblock Detected

Please don't block our ads, we rely on these ads to serve you with credible contents