Michezo

Yanga SC yaipa somo Ndanda FC

Kikosi cha Yanga SC kimefanikiwa kuchomoza na ushindi wa mabao 2 – 1 dhidi ya Ndanda FC mchezo wa ligi kuu soka Tanzania Bara.

Wachezaji wa Yanga SC waliyochomoza na mabao hii leo ni Pius Buswita  na Hassan Kessy huku aliyekuwa shujaa kwa upande wa Ndanda FC ni Nassor Kapam.
Katika historia klabu ya Yanga ndiyo mara yao ya kwanza kuchomoza na ushindi katika dimba la Nangwanda Sijaona.

baada ya kuifunga Ndanda FC kwa mabao 2-1, mchezo wa Ligi Kuu Bara.

Walikuwa Yanga walioanza kucheka na nyavu za Ndanda mapema kabisa kwenye dakika ya 6 ya mchezo, baada ya Pius Buswita kutumia vema madhaifu ya mabeki wa Ndanda kwa kfunga bao la kwanza.
Kwa matokeo hayo Yanga SC inafikisha jumla ya alama 40 ikizidiwa tano na vinara wa ligi Simba SC wenye pointi 45.

Related Articles

Back to top button

Adblock Detected

Please don't block our ads, we rely on these ads to serve you with credible contents