Michezo

Yanga SC yaitumia salamu Tanzania Prisons

Mabingwa wa kihistoria wa Ligi Kuu soka Tanzania Bara klabu ya Yanga imetangaza kikosi chake kitakacho ikabili timu ya Tanzania Prisons hii leo katika dimba la Azam Complex Chamazi jijini Dar es salaam.

Yanga itaingia Uwanjani huku ikiwa na kumbukumbu ya kuibuka na ushindi mnono wa mabao matano kwa bila dhidhi ya klabu ya Mbeya City katika mchezo uliyopita.

Kikosi cha Yanga SC kwa Tanzania Prisons leo Uwanja wa Uhuru

Jumla ya michezo mitano itapigwa hii leo katika viwanja mbalimbali hapa nchini wakati Singida United ikiwakaribisha Mbeya City, Mbao FC itawakaribisha Mwadui FC huku Kagera Sugar ikiikabili Stand United na Ruvu Shooting dhidi ya Majimaji FC.

Related Articles

Back to top button

Adblock Detected

Please don't block our ads, we rely on these ads to serve you with credible contents