Michezo

Yanga SC yakwea pipa kuwafuata Township Rollers ya Botswana

Kikosi cha Yanga SC kimeondoka alfajiri ya kuamkia leo kuelekea nchini Botswana tayari kwa mchezo wa marudiano wa klabu bingwa barani Afrika dhidi ya Township Rollers FC Machi 17 mwaka huu.

Jumla ya wachezaji 20 na viongozi 11 wakiwemo nane wa benchi la ufundi wamekuwa sehemu ya msafara huo.

 Yanga SC yawaliza Watanzania, Warudi jangwani vichwa chini

Wawakilishi hao wa Tanzania Bara katika  michuano ya klabu bingwa Barani Afrika, Yanga walikubali kipigo cha mabao 2 – 1 kutoka kwa Township Rollers FC katika mchezo wa awali uliyopigwa uwanja wa Taifa jijini Dar es Salaam.

 

 

 

Related Articles

Back to top button

Adblock Detected

Please don't block our ads, we rely on these ads to serve you with credible contents