Michezo

Yanga SC yaondoka kuwafuata Njombe Mji

Kikosi cha klabu ya Yanga kinaondoka leo asubuhi kuelekea Njombe tayari kwaajili ya mchezo wake wa ligi kuu dhidi ya Njombe Mji utakao chezwa jumapili ya tarehe 10.

Yanga inaondoka na wachezaji wake 26 katika msafara huo na viongozi 12 wakiwemo 8 kutoka benchi la ufundi ambapo timu hiyo itasalia huko huko kwaajili ya michezo yake miwili ya ligi iliyopangwa kwenye miji ya Njombe na  Songea.

Soma kikosi cha Yanga

Related Articles

Check Also
Close
Back to top button

Adblock Detected

Please don't block our ads, we rely on these ads to serve you with credible contents