Michezo

Yanga SC yatuma salamu za rambi rambi msiba wa Athuman Chama

Katibu Mkuu wa klabu ya Yanga, Charles Mkwasa ametuma salama za rambirambi kwa familia ya marehemu Athmani Juma Chama ‘Jogoo ‘ kufuatia kifo cha nyota huyo wa zamani wa Yanga kilichotokea katika hospital ya Muhimbili Jana usiku.

 

Katibu Mkuu wa klabu ya Yanga, Charles Mkwasa ametuma salama za rambirambi kwa familia ya marehemu Athmani Juma Chama ‘Jogoo ‘ kufuatia kifo cha nyota huyo wa zamani wa Yanga kilichotokea katika hospital ya Muhimbili Jana usiku..!


“Nawaomba wana yanga wote tuungane kwa pamoja na familia ya marehemu katika kipindi hiki kigumu” Chama alikuwa mchezaji mahiri wa Yanga na alifanya mengi mazuri kwa timu na Taifa enzi za uhai wake”- Mkwasa.

Related Articles

Back to top button

Adblock Detected

Please don't block our ads, we rely on these ads to serve you with credible contents