Michezo

Yanga SC yaweka hadharani silaha za kuihangamiza Kagera Sugar

Mabingwa wa kihistoria wa Ligi Kuu soka Tanzania Bara wanashuka dimbani hii leo huko Kaitaba mjini Bukoba kusaka alama tatu muhimu dhidi ya wenyeji wao wakata miwa wa Kagera Sugar mchezo wa duru la sita utakao pigwa majira ya saa 10 alasiri.

Tayari kikosi cha wanajangwani hao kimeanikwa wazi  watakao vaana na Kagera .

Wachezaji hao ni Juma Abdul, Gadiel Mb aga, Andrew Vicent, Kelvin Yondan, Said Makapu, Pius Buswita,Papy Tshishimbi, Ibrahim Ajib, Obrey Chirwa, Geofrey  Mwashiuya.

Wachezaji wa akiba ni Benno Kakolanya, Nadir Haroub, Emmanuel Martin, Raphael Loth, Haji Mwinyi, Matheo Anthony, Edward Maka.

Related Articles

Check Also
Close
Back to top button

Adblock Detected

Please don't block our ads, we rely on these ads to serve you with credible contents