Michezo

Yanga wala tizi la hatari (Video + Picha)

Kikosi cha Mabingwa wa kihistoria wa ligi kuu soka Tanzania Bara, Dar es salaam Young Africans leo asubuhi wamefanya mazoezi katika uwanja wa Uhuru kujiandaa na michezo ya ligi.

Yanga SC wapatwa na msiba mzito

Yanga ambayo kwa mujibu wa ratiba wanatarajia kucheza na timu ya Njombe Mji katika dimba la SabaSaba Njombe Septemba 6, hii leo imepata pigo baada ya Baba mzazi wa kocha wao mzambia, George Lwandamina kufariki dunia.

Picha za wachezaji wa Yanga wakifanya mazoezi leo

  

Related Articles

Back to top button

Adblock Detected

Please don't block our ads, we rely on these ads to serve you with credible contents