Michezo

Yanga wapata ushindi wa kwanza baada ya michezo tisa kupita

Mabingwa wakihistoria wa ligi kuu soka Tanzania Bara klabu ya Yanga imefanikiwa kuchomoza na ushindi mwembamba wa bao 1 – 0 dhidi ya Mbao FC mchezo uliyopigwa uwanja wa Taifa jijini Dar es salaam.

 

Yanga wanapata ushindi wa kwanza baada ya kushindwa kufanya hivyo kwenye michezo tisa mfululizo katika mashindano yote.

Bao pekee la Thaban Kamusoko ndilo limeipatia Yanga ushindi dhidi ya Mbao FC na kuifanya kufikisha jumla ya pointi 51 na kufukuzia nafasi ya pili inayoshikiliwa na Azam FC wenye alama 55 baada ya kupoteza ubingwa wao wa ligi.

Related Articles

Back to top button

Adblock Detected

Please don't block our ads, we rely on these ads to serve you with credible contents