Michezo

Yanga yafungwa goli 1-0 na TP Mazembe

Klabu ya Dar es Salaam, Young Africans June 28 2016 ilikuwa katika uwanja wa Taifa Dar es Salaam katika mechi yake ya pili hatua ya nane bora dhidi ya klabu ya TP Mazembe ya Jamhuri ya kidemokrasia ya Congo.

yatpmaze

Mchezo huo wa Kundi A lenye timu za Medeama ya Ghana, Mo Bejaia ya Algeria, TP Mazembe ya Kongo na Yanga, ulimalizika kwa Yanga kufungwa kwa goli 1-0, goli ambalo limefungwa dakika ya 74 Merveille Bope, TP Mazembe walionekana kucheza kwa umakini na uzoefu mkubwa, kitu ambacho kimeisaidia kupata point tatu na hii ni mechi ya pili kwa Yanga kupoteza baada ya mechi ya kwanza kufungwa goli 1-0 na MO Bejaia ya Algeria.

grt

Related Articles

Check Also
Close
Back to top button

Adblock Detected

Please don't block our ads, we rely on these ads to serve you with credible contents