Picha

Yanga yaendeleze wimbi la ushindi kwa kuifunga black Leopard 2-1

Yanya jana iliendeleza ubabe kwa timu ya Black Leopards ya Afrika Kusini baada ya kuifunga mabao 2-1 katika mechi ya kirafiki ya kimataifa kwenye Uwanja wa CCM Kirumba, Mwanza.
Mchezo huo wa marudiano unatokana na ule wa kwanza uliochezwa kwenye Uwanja wa Taifa Dar es Salaam, ambapo wageni hao walipoteza kwa mabao 3-2.

Kikosi cha Yanga kikiwa katika picha ya pamoja.

Makocha wakipongezana mara baada ya mpira kuisha

Mashabiki

Mashabiki wa timu ya Yanga
Mashabiki wa timu ya Yanga
Mchezaji Hamis Kiza wa Yanga akifanya jitihada za kumchomoka beki wa timu ya Black Leopards,Victor Kamhuka

mchezaji wa timu ya Yanga,Jerry Tegete akiwatoka baadhi ya mabeki wa timu ya Black Leopards,Jerry alifanikiwa kufunga goli la pili mnamo dakika ya 54 kipindi cha pili.

Mchezaji wa wa timu ya Yanga David Luhende akitaka kumchomoka mchezaji wa timu ya Black Leopards,Moses Kwena,kwenye mchezo wao wa marudio uliofanyika kwenye uwanja wa CCM Kirumba jijini Mwanza

Patashika ya kuwania mpira
Patashika ya kuwania mpira
Pichani ni Golikipa wa Black Leopards Posnett Omony akijitahidi kuokoa mpira uliopigwa kwa kichwa na mchezaji wa Yanga,Said Bahanuzi na hatimaye kutinga kimiani

 Golikipa wa Black Leopards Posnett Omony akijitahidi kuokoa mpira uliopigwa kwa kichwa na mchezaji wa Yanga,Said Bahanuzi na hatimaye kutinga kimiani

Wachezaji wa timu Yanga wakifurahia goli la pili lililofungwa na Jerry Tegete kipindi cha pili mnamo dakika ya 54 kwa njia ya penati.

wachezaji wa timu zote wakipeana mikono tayari pambano kuanza

Atoki mtu hapa
Atoki mtu hapa
Benchi la ufundi la timu ya Yanga
Benchi la ufundi la timu ya Yanga
Kikosi cha timu ya Black Leopards
Kikosi cha timu ya Black Leopards

Related Articles

Back to top button

Adblock Detected

Please don't block our ads, we rely on these ads to serve you with credible contents