Aisee DSTV!
SwahiliFix

Yanga yaigeukia Simba ”Wanatuambia wachezaji wetu wamechukua chakula ndani ya Ndege” (+Video)

Uongozi wa klabu ya Yanga umewaonya mahasimu wao Simba SC kuawacha propaganda dhidi yao hasa kumzungumzia vibaya kocha wao Mwinyi Zaher.

”Wamekuwa wakisema mwalimu Mwinyi Zahera haelewani na Kamati, mara amepewa mechi tatu kitu ambacho ni cha uwongo.” Amesema Makamu Mwenyekiti wa Yanga Fredrick Mwakalebela.

Mwakalebela ameongeza ”Wachezaji wetu wamepanda ndege unaambiwa wamechukua vitu, chakula ndani ya ndege kitu ambacho cha uwongo”.

Related Articles

Back to top button
Close
Bongo5

FREE
VIEW