Aisee DSTV!

Yanga yajibu tuhuma, yaeleza tiketi zao siku ya Mwananchi kusoma Simba ”Mapato yote yaliingia Yanga” (+video)

Uongozi wa klabu ya Yanga umezungumzia maandalizi yake kuelekea mchezo wao wa klabu bingwa barani Afrika dhidi ya timu ya Township Rollers hapo kesho siku ya Jumamosi ya Agosti 9, 2019 uwanja wa Taiafa. Katika mkutano huo pia wamejibu swali waliloulizwa na Waandishi wa habari juu ya sababu zilizopelekea kuwepo na mkanganyiko wa baadhi ya tike kusoma kama za Simba kwenye siku ya Mwananchi.

Related Articles

Back to top button
Close
Bongo5

FREE
VIEW