Yanga yamtimua kazi Mwinyi Zahera ”Benchi lake lote la Ufundi, Meneja mpaka Mlizi hatujasajili kwaajili ya ligi ”(+Video)

Uongozi wa klabu ya Yanga, hii leo siku ya Jumanne ya tarehe 4/11/2019 imetangaza rasmi ya kuachana na kocha wake Mwinyi Zahera, benchi lake la Ufundi, Meneja mpaka mlinzi huku ikidai kuwa imeamua kuanza upya.

 

 

Related Articles

Back to top button
Close
Bongo5

FREE
VIEW