Burudani ya Michezo Live

Yanga yatangaza kumfukuza kazi kocha wake, waomba radhi viongozi wa nchi

Klabu ya Yanga yatangaza kumfukuza kazi  kocha wake  @EymaelLuc na kuhakikisha anaondoka haraka nchini kutokana na kauli zisizo za kiungwana na kibaguzi alizozitoa na kusambaa katika mitandao ya kijamii na vyombo mbalimbali vya habari.

Related Articles

Back to top button
Close
Bongo5

FREE
VIEW