Burudani
Yaya Prince afunguka kuhusu muziki wake, kumkubali Queen Darleen na jinsi anavyofananishwa na Aslay (Video)
Msanii wa muziki Yaya Prince ambaye anafanya vizuri na wimbo, Chuchumaa amefunguka kuuzungumzia muziki wake na mambo mengine mengi.