Michezo

Yaya Toure aibua maswali mazito kwa mashabiki

Yaya Touré amevuta jiko jingine? Hayo ndio maswali ambayo mashabiki wa mchezaji huyo wa Ivory Coast na Manchester City wanayojiuliza.

Wiki iliyopita Toure ameonekena kwenye picha ya kimahaba akiwa na mwimbaji wa Uingereza, Tanika Bailey. Picha hiyo tena mrembo huyo ndio aliiweka kwenye mtandao wake wa Instagram.

Kubwa zaidi ambalo limeonekana kuwachanganya wengi ni ujumbe kwenye picha hiyo hapo chini ambao aliuandika Tanika kwenye mtandao huo March 7 ya mwaka huu.

Hata hivyo bado haijafahamika undani wa mahusiano ya wawili hao wakati Toure anafahamika kuwa na mke, Gineba Toure ambaye walifunga ndoa tangu mwaka 2004 na wamefanikiwa kupata watoto watatu.

Related Articles

Back to top button

Adblock Detected

Please don't block our ads, we rely on these ads to serve you with credible contents