Burudani

Yemi Alade atangaza ujio wa ngoma yake mpya ‘Feel For You’

Msanii kutoka nchini Nigeria, Yemi Alade au kwa jina jingine Mama Africa, ametangaza ujio wa ngoma yake mpya hivi karibuni.

Kupitia mtandao wa Instagram, Yemi ameweka kava la wimbo wake huo mpya ambao unaitwa ‘Feel For You’ na kuandika utatoka hivi karibuni.

Takriban wiki tatu zilizopita, msanii huyo aliachia wimbo wake uitwao ‘Heart Robber’ ambao mpaka sasa umeshatazamwa zaidi ya mara 490k kwenye mtandao wa YouTube.

Related Articles

Back to top button

Adblock Detected

Please don't block our ads, we rely on these ads to serve you with credible contents