Videos

Young Buck atoka jela na kuachia video ya ngoma yake mpya ‘Rage’

Aliyekuwa rapper wa kundi la G-Unit, Young Buck ni mtu huru kwa sasa. Mwaka 2012, Young Buck aliingia jela kutumikia kifungo cha miezi 18 kutokana na kosa la kumiliki silaha. Akiwa mtu huru, rapper huyo ameachia video ya ngoma yake mpya, Rage.

http://www.youtube.com/watch?v=IxlKnV2MFS0

Rapper huyo alitakiwa kutoka jela February 2014. Buck aliweka habari hiyo njema kwenye mtandao wa Twitter na kupost picha yake mwenyewe.

Related Articles

Back to top button

Adblock Detected

Please don't block our ads, we rely on these ads to serve you with credible contents