BurudaniVideos

Young Chali ndani ya Manzese

marco_chale_face
Mwanamuziki Young Chally ” wa katikati’ anatarajia kukamilisha video ya wimbo wake mpya ambao anatarajia kuachia kwenye video baada ya kuisha. Chali alisema video hiyo aliamua kuifanyia maeneo mitaa ya  Manzese, ili kupata watoto wanaojua kugonga kiduku.

 

marco_chaliMarco Chally mwenye shati la rangi ya damu ya mzee, akifuatilia mipango ya msaniii wake Young Chally.

marco_chali_madee
Wasaniii toka Tip Top Connection wakiwasindikiza wasanii waliokuja kufanya video maeneo ya kwao na kuwatafutia sehemu nzuri.

marco_chali_mtoto
Marco Chally akiwa na dogo, aliyegonga kiduku katika video hiyo.
marco_chali_watoto

 

Related Articles

Check Also
Close
Back to top button

Adblock Detected

Please don't block our ads, we rely on these ads to serve you with credible contents