Burudani

Young Dee afikiria kumshirikisha Diamond au Patoranking wa Nigeria

Young Dee amesema ana mpango wa kumshirikisha Diamond Platnumz au Patoranking wa Nigeria.

11934825_975081785863746_1516528780_n

Young Dee ameiambia Bongo5 kuwa yupo kwenye mpango huo ila ukifika muda muafaka kila kitu kitakuwa wazi.

“Hii bado muda wa kuanza kuizungumzia, we are looking forward for that. Lakini siwezi kuizungumzia kwa sasa hivi. Mikakati ipo na tunaifanyia kazi, lakini time yake haijafika ya kuizungumza,” amesema rapper huyo.

Related Articles

Back to top button

Adblock Detected

Please don't block our ads, we rely on these ads to serve you with credible contents